KWA KAZI HIZI, SOTE TUMPONGEZA NA KUMPA NDUVU MHE. RAIS - LIVINGSTONE LUSINDE from refu Watch Video
Preview(s):
Gallery
Play Video: (Note: The default playback of the video is HD VERSION. If your browser is buffering the video slowly, please play the REGULAR MP4 VERSION or Open The Video below for better experience. Thank you!)
Description: Baada ya wajumbe wa NEC (CCM) kufanya ziara za miradi mikubwa inayojengwa katika mikoa ya Dar es Salaam na Pwani kabla ya kikao chao kilichofanyika Alhamisi tarehe 27 June, 2019 Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) Livingstone Lusinde aliwataka wajumbe wote wamuunge mkono kwa kusimama na kumpongeza Mwenyekiti wa chama hicho ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kwa utendaji na usimamizi mzuri wa utekelezaji pamoja na uongozi imara katika serikali